YANGA DAY KUFANYIKA AGOSTI 4 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Afisa Habari na Mawasiliano wa Young Africans SC, Ally Kamwe ameujuza umma kuwa Kilele cha Siku ya Mwananchi itakuwa ni Agosti, 4 Mwaka huu. “Tarehe 4 Agosti 2024 ndio kilele cha siku ya mwananchi katika uwanja wa Benjamin Mkapa. Tutakwenda kutangaza tunafungulia wapi na kampeni zetu zitagusa maeneo gani” Ally Kamwe Powered by; @acbtanzania_ @kobemotor @betpawatanzania @wearekerry#koncepttvupdates    

Read More

Zitto amjulia hali Sativa, ataka uchunguzi matukio ya utekaji

Dar es Salaam. Kiongozi mstaafu wa Chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali kufanya uchunguzi huru na wa kina kuhusu vitendo vya utekaji vinavyojitokeza mara kwa mara nchini Tanzania, ili wanaohusika wafikishwe katika vyombo vya sheria. Amesema vitendo vya utekaji vilishaanza kusahaulika nchini, lakini hivi sasa vimeanza kurejea upya na kuzua hofu kwa Watanzania,…

Read More

Wababe walioacha simulizi Dodoma | Mwanaspoti

BAADA ya fainali ya mashindano ya kikapu taifa kumalizika na Kigoma kuibuka mabingwa upande wa wanaume, huku Mara ikibeba kwa wanawake, gumzo lililobaki ni namna mastaa wa mchezo huo walivyooyesha ubabe. Mashindano hayo yalifanyika kuanzia Juni 19 katika viwanja vya Chinangali, Dodoma yalishirikisha nyota na mikoa 18, lakini ni wakali kadhaa walioonyesha mambo makubwa na…

Read More

Balozi Yakubu awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Comoro

Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Saidi Yakubu, leo Jumanne amewasilisha hati za utambulisho kwa Rais wa Nchi hiyo, Azali Assoumani ambapo wamepata pia fursa ya kufanya mazungumzo kuhusu uhusiano wa nchi hizo mbili. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Balozi Yakubu ambaye aliwasilisha hati hizo za utambulisho kwa lugha ya Kikomoro jambo lililomfurahisha Rais Azali alitumia…

Read More

TRC yapokea seti mbili za treni ya kisasa

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania (TRC) imepokea seti mbili za treni ya kisasa inayotumia nishati ya umeme EMU, (Eletric Multiple Unit) na vichwa vinane vya treni. Seti hiyo imewasili nchini kutoka Korea ya Kusini. Kwa sasa TRC imeshapokea seti tatu zilizowasili mpaka sasa. Seta ya kwanza iliwasili Aprili 2024. Taarifa kwa umma iliyotolewa…

Read More

BENKI YA NCBA YAZINDUA MSIMU WA PILI MASHINDANO YA GOFU

BENKI ya NCBA Tanzania imezindua rasmi msimu wa pili wa mashindano ya gofu ya NCBA. Mashindano haya yatafanyika kwenye uwanja wa gofu wa Gymkhana, Arusha. Akizungumza Wakati wa Mashindano hayo Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Damas Ndumbaro ambaye alihudhuria tukio hilo kama mgeni rasmi, na pia alishiriki katika mchezo wa gofu, aliongelea ushirikiano wake…

Read More

Kobe Motor Japan kuongeza idadi ya magari yake soko la Tanzania

Kampuni ya Kobe Motor ya Japan imesema itaendelea kujitanua zaidi katika soko la Tanzania kutokana na kukua kwa mahitaji ya magari ya aina mbalimbali kwa ajili ya mtumizi binafsi na ya kibiashara. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea). Ikiwa ni moja kati ya makampuni makubwa ya Kijapani yanayouza magari yaliyotumika kutoka Japan sehemu mbalimbali duniani, Kobe Motor…

Read More

Gen Z waliamsha tena, barabara zafungwa

Dar es Salaam. Waandamanaji wa Gen Z wamerudi barabarani sasa wakiwa na kaulimbiu waliyoipa jina kamata maeneo yote dhidi ya utawala wa Rais William Ruto, yaani ‘Occupy everywhere protests against President William Ruto’s regime’ Maandamano nchini humo yamekuwa ya kila wiki, yakitanguliwa na yale ya kukataa muswada wa fedha kwa mwaka2024 ambao Rais Ruto amekataa…

Read More