Je, Jenerali Z wa Kenya Anaweza Kuongoza Mapinduzi ya Kilimo Afrika? – Masuala ya Ulimwenguni

Wakati umefika wa kukipata kizazi hiki cha vijana cha Gen Z na kuhakikisha kwamba wanasaidiwa kifedha na maarifa wanayohitaji ili kuongoza mapinduzi ya kilimo ya Afrika yanayohitajika sana. Credit: Busani Bafana/IPS Maoni by Esther Ngumbi (urbana, illinois, sisi) Jumatano, Julai 31, 2024 Inter Press Service URBANA, Illinois, Marekani, Julai 31 (IPS) – Jenerali Z wa…

Read More

Olympic 2024 yaendelea kutimua vumbi Tanzania matumaini kibao

Michuano ya Olympic 2024 inaendelea nchini Ufaransahuku michezo mbalimbali ikliendelea kutimua vumbi naMeridianbet wameendelea kutoa Odds bomba kupitiamichezo inayochezwa. Tanzania ilifanikiwa kushiriki michezo kadhaa kwenye Olympic mwaka hu ikiwemo Kuogelea, na Judo, Huu washiriki wamichezo hiyo wakiwa wametupwa nje ya michuano namatumaini pekee yamebaki kwa wanaoshiriki mchezo wariadha. Wakimbiaji wa mbio ndefu ambao wataiwakilisha Tanzaniakwenye…

Read More

Watanzania wapania kuiteka gofu Mombasa

WACHEZAJI watano wa gofu kutoka Tanzania, wanatarajia kuondoka nchini mwishoni mwa juma kwenda kushiriki michuano ya wanawake iliyoandaliwa na Chama cha Gofu ya Wanawake Kenya (Kenya Ladies Golf Union), kuanzia Jumatatu, Agosti 5. Mashindano hayo yanayoshirikisha wacheza gofu wa kike kutoka nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwakilisha Kenya, Uganda na Tanzania na yatafanyika katika…

Read More

Rais Samia ataka utafiti rasilimali watu sekta ya afya

Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Afya ikamilishe utafiti wa kitaifa, unaoangalia hali halisi ya rasilimali watu katika sekta ya afya Tanzania ili kupata takwimu za nguvu kazi iliyopo ndani na nje ya vituo vya tiba na hatimaye kukabiliana na upungufu uliopo. Rais Samia pia ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu kuimarisha…

Read More

Kisa migogoro, chaneta yapigwa pini kimataifa

SERIKALI imekipa kibarua Chama cha Mchezo wa Netiboli nchini (Chaneta) kutatua migogoro yao ya ndani sambamba na kufanya uchaguzi mzuri wa wachezaji wa timu ya Taifa kwa kufuata haki. Ilisema kwa kufanya hivyo, Chaneta itapata nafasi ya kuruhusiwa kushiriki michuano mbalimbali ya kimataifa na kufadhiliwa na serikali, pia itawapatia wadhamini wa kudumu wa kusapoti mchezo…

Read More