
Shahidi azikomalia Kahama Oil Mills na wenzake deni la Equity
Dar es Salaam. Shahidi wa kwanza wa utetezi katika kesi ya mkopo tata baina ya kampuni ya Kahama Oil Mills Limited na wenzake dhidi ya Benki za Equity Tanzania Limited (EBT) na Equity Kenya Limited (EBK), amehitimisha ushahidi wake uliohusisha nyaraka mbalimbali zinazohusiana na mkopo huo. Shahidi huyo, Michael John Kessy kutoka EBT, amehitimisha ushahidi…