Yanga kung’oa kocha Mamelodi | Mwanaspoti

Kiwango  kibovu ilichokionyesha Mamelodi Sundowns msimu uliopita ikiwemo kushindwa kufurukuta mbele ya Yanga katika mechi mbili timu hizo zilipokutana kwenye robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika vimepelekea mabosi wa Mamelodi kusitisha mkataba wa kocha wake Rulani Mokwena. Ikumbukwe Mamelodi ilikutana na Yanga kwa mara ya kwanza Machi 30 mwaka huu uwanja wa Benjamin Mkapa…

Read More

WAZIRI KAIRUKI AKUTANA NA MWEKEZAJI WA GRUMETI RESERVE

Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Mwekezaji wa Pori la Akiba Grumeti (Grumeti Reserve), Bw. Paul Jones lengo ikiwa ni kujadiliana masuala mbalimbali ya ushirikiano ikiwa ni pamoja na uhifadhi na utalii. Pori hilo liko katika Wilaya ya Serengeti Mkoani Mara….

Read More

Kampuni kuagiza siagi isiyo na lehemu kutoka Mauritius

KAMPUNI ya World Exchange Company Limited (WEXCO), kwa kushirikiana na Quality Beverages ya Mauritius, wanatarajia kuanza kuingiza nchini siagi yenye virutubisho nane na ambayo ni bora kwa afya na mazingira. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Akizungumza leo Jumanne kwenye maonyesho yanayoendelea kwenye viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam, Mkuu wa Mauzo ya Nje wa…

Read More

Maji yaliyoibuka chini ya ardhi yazua taharuki Moshi

Moshi. Zikiwa zimepita siku zaidi ya 35, tangu kuibuka kwa maji chini ya ardhi katika eneo la mradi wa stendi ya mabasi ya Kimataifa ya Ngangamfumuni, Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro, Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mwajuma Nasombe  amesema hayajaathiri mradi huo baada ya kuchimbwa visima vitatu kwa ajili ya kuyadhibiti. Kwa mara ya kwanza maji…

Read More

Aussems atuma salamu Ligi Kuu 2024/25

KOCHA mpya wa Singida Black Stars, Patrick Aussems amejipa wiki tatu hadi nne za kuwasoma wachezaji wake kabla ya kutoa dozi ya mbinu zake katika maandalizi ya msimu ujao ambao anaamini wanaweza kutoa ushindani mbele ya Yanga, Azam, Simba na Coastal Union ambazo zilimaliza msimu uliopita katika nafasi nne za juu. Mbelgiji huyo ambaye aliwahi…

Read More

STRAIKA MUKWALA ATUA SIMBA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Klabu ya Simba SC imemtambulisha Mshambuliaji Steven Mukwala raia wa Uganda baada ya kusaini mkataba wa miaka mitatu kutoka Asante Kotoko ya Ghana.Mukwala mwenye umri wa miaka 24 ni mshambuliaji kinara mwenye uwezo wa kufunga hivyo Simba SC inategemea atakuwa msaada mkubwa kwa timu.Mukwala amefunga mabao 14 na kuisaidia kupatikana kwa mengine mawili katika michezo…

Read More