
Wasichana 10,100 waliokatisha masomo warejeshwa shule
Dodoma. Jumla ya wasichana 10,100 waliokatiza masomo, wamerejeshwa shuleni nje ya mfumo wa rasmi wa elimu kwa kipindi cha miaka mitatu tangu mwaka 2022 hadi mwaka 2024. Wengi wa wanafunzi hao ni wale waliokatisha masomo kwa kupata ujauzito na utoro, ambao wamerejeshwa shuleni kupitia vituo vya Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima, ikiwa ni miaka…