
Sababu wanafunzi kufanyiana mitihani vyuo vikuu
Si tukio la kawaida kwa walio wengi, lakini limetokea na pengine yamekuwa yakitokea matokeo mengi ya aina hiyo, lakini hayaripotiwi. Si habari njema kwa kuwa linatia doa sekta ya elimu nchini. Ni tukio la uongozi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuwakamata watu 17 wakijaribu kuwafanyia mitihani wanafunzi wa chuo hicho. Waliokamatwa ilielezwa walikuwa…