
NAIBU WAZIRI KAPINGA ATAKA KASI YA UUNGANISHAJI UMEME USHETU IONGEZEKE
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe.Judith Kapinga ameuagiza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza kasi ya kuwaunganishia umeme wananchi katika vijiji ambavyo tayari vimefikiwa na miradi ya usambazaji umeme ili kuleta tija. Kapinga ameyasema hayo tarehe 1 Julai, 2024 wakati alipokagua miradi ya umeme katika Vijiji Vya Nimbo, Sunga na Nyawishi vilivyopo Wilaya ya Ushetu mkoani…