Simba SC Mpya inakuja, Mpanzu aikataa AS Vita

SIMBA inaendelea kusuka upya kikosi chake na sasa imeonyesha jeuri ya pesa katika kuwania saini ya winga wa kulia Elie Mpanzu (22), kutoka AS Vita ya DR Congo. Mwanaspoti lilikuwa la kwanza kutoa taarifa ya Simba kuwa kwenye mazungumzo na Mpanzu kutaka saini yake na huu ni mwendelezo wa dili hilo lilipofikia. Jana mastaa wa…

Read More

Msafara wa chakula wa Umoja wa Mataifa ulishambuliwa, vifaa viliporwa huku kukiwa na hali mbaya zaidi – Global Issues

Clementine Nkweta-Salami, juu Afisa wa Umoja wa Mataifa wa masuala ya kibinadamu nchini Sudan alionyesha “kukasirishwa” na tukio hilo. “Msaada ulioporwa kutoka kwa a WFP msafara katika Darfur ya Kati hautaenda tena kwa watu walio hatarini zaidi wanaohitaji,” alisema katika a chapisho kwenye X, zamani Twitter. Katika tofauti chapishoWFP ilitoa wito kwa mamlaka kuhakikisha wahusika…

Read More

USHIRIKA UTUMIKE KUWAKOMBOA WANANCHI KIUCHUMI- MHE. SILINDE

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. David Silinde (Mb) ameitaka Tume ya Maendeleo ya Ushirika pamoja na taasisi nyingine zinazohusika na Ushirika kusimamia vyema uendeshaji wa Vyama vya Ushirika ili viweze kutumika kama nyenzo ya kuimarisha uchumi na kuondoa umasikini. Akifungua Maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani leo Julai 1, 2024 katika Viwanja vya Ipuli Mkoani…

Read More

32,000 wahudumiwa kambi ya madaktari bingwa Arusha

Arusha. Jumla ya watu 32,186 wamehudumiwa katika kambi ya madaktari bingwa na wabobezi iliyokamilika leo Jumatatu Julai mosi, 2024 katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha. Akitoa tathmini ya kambi hiyo iliyofanyika kwa siku nane, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Charles Mkombachepa, amesema kati ya watu hao, wapo watoto 4,616 waliohudumiwa katika kambi…

Read More