
Kamusi, misamiati wanafunzi wenye mahitaji maalumu zaja
Musoma. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia iko katika mchakato wa kuandaa kamusi ya lugha ya alama ya vifaa vya ufundi kwa ajili ya masomo kwa watu wenye mahitaji maalumu. Pia, wizara hiyo inatarajia kuandaa kamusi na misamiati kama mwongozo wa kufundishia masomo ya sayansi kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu nchini. Hayo yamesemwa leo, Jumatatu…