
Maandamano ya Gen Z, Ruto asisitiza mikono yake safi
Rais wa Kenya, William Ruto amesisitiza mikono yake haijachafuka damu kutokana na mauaji yaliyotokea nchini humo, baada ya waandamanaji kukabiliana na polisi. Mamia ya Wakenya waliandamana Jumapili jijini Nairobi, kuwaenzi wale waliofariki katika maandamano ya kuipinga Serikali wiki iliyopita. Inadaiwa watu 30 waliuawa katika maandamano hayo. Rais Ruto, aliyekuwa akizungumza katika mahojiano na waandishi wa…