
Siri nzito Chama kutambulishwa asubihi, akataa mshahara Simba
WATOTO wa mjini wanasema biashara asubuhi na jioni mahesabu, ndio kauli waliyoitumia Yanga kukamilisha dili la kiungo Clatous Chama ambaye ametua kwa mabingwa hao na tangu jana ndio gumzo mitandaoni na kwenye vijiwe vya michezo. Chama amesaini mkataba wa miaka miwili na Yanga baada ya mkataba wake kumalizika na Simba akigoma kuongeza mwingine sababu kubwa…