
Watanzania tembeleeni Maonyesho ya Sabasaba”-CAG Kichere
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, ametoa wito kwa wananchi kutembelea Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba ili kujifunza na kufahamu huduma mbalimbali zinazotolewa na taasisi za serikali na binafsi kwa ajili ya kuwahudumia wananchi. Akizungumza leo, Julai 1, 2024, alipotembelea maonesho hayo…