
SERIKALI KUSHIRIKIANA NA TAASISI YA KSI CHARITABLE EYE CENTRE ILI KUIMARISHA HUDUMA ZA MACHO NCHINI
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeahidi kushirikiana na Taasisi ya Khoja Shia Ithna ili kuimarisha huduma za macho nchini ikiwemo utoaji wa huduma ya upasuaji mdogo, vipimo pamoja na kutoa miwani katika makundi mbalimbali ya wananchi wenye uhitaji wa huduma hizo. Hayo yamesemwa Juni 30, 2024 na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu wakati wa…