
WAZIRI UMMY AMUAGA BALOZI WA SWITZERLAND
Na WAF – Dar Es Salaam Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu ametoa shukrani kwa nchi ya Switzerland kwa kuendelea kushirikiana na Tanzania katika kusaidia Sekta ya Afya hasa kwenye uboreshaji wa Utoaji wa huduma za Afya ya Msingi nchini. Waziri Ummy amesema hayo leo Julai 29, 2024 wakati akiagana na Balozi wa…