
Mapya kesi ya kutekwa Kabendera, Vodacom yaitwa mahakamani
Dar es Salaam. Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salalam, imeitaka Kampuni ya huduma za mawasiliano ya simu za mkononi, Vodacom kufika mahakamani na kuwasilisha nyaraka inazotarajia kuzitumia katika kujitetea katika kesi ya madai iliyofunguliwa na wanahabari, Erick Kabendera dhidi yake. Katika kesi hiyo, Kabendera anaoimba mahakama iiamuru kampuni hiyo imlipe fidia ya Dola za…