
Msigwa ataja kilichomuondoa Chadema, atetea kauli yake kuchomewa ‘nyumba’
Dar es Salaam. Siku moja baada ya mbunge wa zamani wa Iringa Mjini (Chadema), Mchungaji Peter Msigwa kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM), mwanasiasa huyo ameeleza kuwa hakuondoka Chadema kwa sababu ya kushindwa uchaguzi wa uenyekiti kanda ya Nyasa. Jana, Juni 30, 2024, Msigwa alitambulishwa kuwa mwanachama mpya mbele ya wajumbe wa halmashauri kuu ya…