Tyla aanza kwa kishindo katika Tuzo za BET 2024

Mwanamuziki kutokea Afrika ya Kusini mwnadada Tyla aliufanya umati wa watu kucheza  wimbo wimbo wake mpya zaidi katika Tuzo za BET 2024 ambao umetamba kwa muda sasa. Jumapili, Juni 30, kwa mara ya kwanza katika usiku wa kitamaduni mkubwa zaidi katika Ukumbi wa Tamthilia ya Peacock huko Los Angeles alitoa burudani isiyosahaulika huku Gunna na…

Read More

Mpya wafanyabiashara Musoma wafunga mageti ya soko

Musoma. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Manispaa ya Musoma mkoani Mara, wamefunga milango ya kuingia sokoni hapo, wakishinikiza kuondolewa kwa wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ wanaofanya shughuli zao kuzunguka soko hilo. Wafanyabiashara hao wamegoma kuingia sokoni wakidai mazingira ya kufanya biashara sio rafiki. Wakizungumza wakiwa nje ya soko hilo leo, Jumatatu, Julai mosi, 2024, wamesema hawatafungua milango…

Read More

TANROADS yampa tano rais Samia kutoa Bil 101.2 kuanza ujenzi barabara ya Kahama-Bulyanhulu JCT – Kakola

Baada ya tarehe 16 Machi 2024 Serikali kusaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct – Kakola yenye urefu wa Kilomita 73 kwa kiwango cha lami, tayari Kampuni ya China Civil Engineering Construction Corporation imeanza utekelezaji wake. Pamoja na Barabara hiyo kufungua fursa za kiuchumi za madini, kilimo, misitu na utalii katika mikoa ya…

Read More

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: BENKI YA NCBA YAZINDUA SHINDANO LA NCBA GOLF SERIES 2024 KATIKA KLABU YA ARUSHA GYMKHANA

Shindano la NCBA Golf Series 2024 ilimezinduliwa rasmi leo katika Klabu ya Arusha Gymkhana, na kuleta pamoja jamii ya wapenzi wa gofu na dhamira ya kujenga utamaduni wa michezo huo.  Benki ya NCBA, taasisi ya kifedha inayoongoza nchini Tanzania, inajivunia kuandaa tukio hili, ikionyesha dhamira yake ya kushirikiana na jamii na kukuza utamaduni mzuri wa…

Read More

TRC kuongeza safari treni ya SGR Dar -Morogoro

Dar es Salaam. Shirika la Reli Tanzania limetangaza ongezeko la safari za treni ya kisasa (SGR) zitakazohusisha kuanza kwa treni mpya ya mwendo kasi (Express train) kutoka Dar es Salaam hadi Morogoro bila kusimama vituo vya kati. Ratiba iliyotolewa inaonyesha kutakuwa safari nane kwa siku na treni hizo zitakuwa zinapishana kwa takribani dakika 20 kati…

Read More

Kilichowaponza vigogo wawili kusimamishwa kazi Dawasa

Dar es Salaam. Uamuzi wa kusimamishwa kazi kwa watendaji wawili wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (Dawasa), akiwemo Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu, Kiula Kingu umechochewa na sababu mbalimbali, ikiwemo ufuatiliaji duni wa miundombinu ya maji. Kiula amesimamishwa jana Jumapili, Juni 30, 2024 pamoja na Mkurugenzi wa Uzalishaji na Usambazaji…

Read More

Mwanachama wa Chadema adaiwa kutekwa na watu wasiojulikana Handeni

Handeni. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati matukio ya baadhi ya wananchi kupotea kwa madai ya kutekwa na watu wasiojulikana. Amesema bila hatua kuchukuliwa, inaweza kusababisha machafuko siku zijazo. Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa Chadema uliofanyika jana Jumapili, Juni 30,…

Read More