
Australia na Afrika mashariki waimarisha uhusiano kupitia kombe la Afrika mashariki la soka kukuza uwezo na ushiriki wa vijana kwenye michezo
Australia imeendelea kukuza mahusiano ya karibu na nchi za mashariki mwa Afrika kupitia tukio la wiki hii la mashindano ya kombe la Afrika Mashariki (East Africa Cup) – mashindano yanayofanyika kila mwaka kwa lengo la kuhamasisha michezo kama nyenzo ya kuwawezesha vijana. Mchango endelevu wa Australia katika kombe hilo umechangia ongezeko la ushiriki wa mabinti…