
Human Rights Watch yaishtumu RSF kwa dhulma za kingono Sudan – DW – 29.07.2024
Human Rights Watch imeutaka Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika kuunda tume ya pamona ya kulinda raia nchini Sudan, wakati ambapo vita vya zaidi ya miezi 15 kati ya jeshi la kundi la RSF havionyeshi dalili za kukoma. Katika ripoti mpya yenye kichwa cha ‘Khartoum Siyo Salama kwa Wanawake,’ shirika hilo la kuteteta haki za…