Wafanyakazi wa Barrick washiriki NBC Dodoma Marathon 2024

    Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za NBC DodomaMarathon 2024 wakifurahi baada ya kumaliza na kukabidhiwa medali za ushiriki Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za NBC DodomaMarathon 2024 wakifurahi baada ya kumaliza na kukabidhiwa medali za ushiriki.Wafanyakazi wa kampuni ya Barrick nchini wameshiriki katika mbio za…

Read More

Je, Wamarekani wa asili ya Kiarabu watamuunga mkono Harris? – DW – 29.07.2024

Harris ambaye yuko katika jitihada za kuteuliwa na chama chake cha Democratic, anaonekana kulikabili vyema jukumu la kuwashawishi wapiga kura wenye asili ya Kiarabu huko Michigan, jimbo ambalo Wademocrats wanaamini hapaswi kulipoteza katika uchaguzi wa Novemba. Viongozi wa kijamii wameelezea utayari wao wa kumsikiliza na baadhi tayari wamefanya mazungumzo ya awali na timu ya Harris….

Read More

ACT Wazalendo kupinga mahakamani Tamisemi kusimamia uchaguzi

Musoma. Chama cha ACT Wazalendo kinatarajia kwenda mahakamani kupinga uchaguzi wa Serikali za mitaa kusimamiwa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Hii si mara ya kwanza kwa chama hicho kulalamikia uchaguzi huo kusimamiwa na Tamisemi, kwani Aprili 5, 2024 Waziri Mkuu kivuli wa chama hicho, Isihaka Mchinjita aliwaambia waandishi…

Read More

ZAIDI YA WANAWAKE 200 WASHIRIKI TAMASHA LA WANAWAKE HANDENI

Raisa Said,Handeni Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo inayotekelezwa. Rai hiyo imetolewa na Mdau wa Maendeleo Handeni Mariam Mwanilwa wakati akizungumza na wanawake zaidi ya 200 walioshiriki tamasha la wanawake lijulikanalo kama Handeni Woman Handeni lililofanyika ukumbi wa…

Read More

Mamilioni ya Expanse kasino yanaendelea kutoka

Sehemu pekee unayoweza kupata bonasi ya ukaribisho hadi300% ni Meridianbet pekee, jisajili upate bonasi hiyokucheza michezo ya Expanse na kubashiri michezo mingi. Pia kuna shindano la Expanse ambalo unaweza kujishindiaMgao wa Milioni 2,500,000/= endapo utaibuka mshindi. Cheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni kutoka Expanse Studio. Mwisho wa promosheni ya Shindano la Expanse Kasino washindi 40,…

Read More