Serikali yakataa kusajili chama cha Gen Z

  JARIBIO la watu kusajili vyama vya kisiasa nchini Kenya vyenye jina, Gen Z ili kuvuna wafuasi wa kisiasa kutokana kampeni zilizoanzishwa na vijana hao kupigania uongozi bora nchini zimezimwa na ofisi ya msajili wa vyama vya kisiasa nchini humo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Msajili wa vyama vya siasa nchini humo, Anne Nderitu amefichua…

Read More

Othman aeleza mbinu ya watu kujiajiri, kuajiriwa

Pemba. Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Othman Masoud amesema Serikali haina ajira bali ‘ujanja wa kuajiri watu’ ni kutengeneza uchumi imara ili wajiajiri. Pia, amewataka vijana wasirubunike na wajitafakari mara mbili pindi wanapoletewa kadi wakiahidiwa ajira. Othman ametoa kauli hiyo leo Jumatatu, Julai 29, 2024 katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa Shule ya Laurent…

Read More

ASILIMIA 50 YA WATUMISHI WANAHITAJIKA MIKOA YA PEMBEZONI

Na WAF – Dar Es Salaam Watumishi wa Afya nchini wametakiwa kwenda kufanya kazi katika Halmashauri za pembezoni mwa nchi ili kupunguza uhaba wa wataalamu hao unaokadiriwa kuwa ni zaidi ya asilimia 50. Upungufu huo unaovikabili vituo vya Afya, Zahanati na baadhi ya Hospitali za Halmashauri umechangia kudhoofisha hali ya utoaji wa hudumaza Afya. Waziri…

Read More

Ni Yanga na Red Arrows Yanga Day

Ni Rasmi klabu ya Yanga imethibitisha kuwa itacheza na timu ya Red Arrows ya Zambia, kwenye kilele cha Mwananchi Day kitakachofanyika Jumapili Agosti 4, mwaka huu. Red Arrows, mabingwa wa Kombe la Shirikisho la Soka Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame 2024) watacheza na Yanga ambayo pia imetoka kutwaa ubingwa wa Toyota Cup Afrika…

Read More

Sweetbert Nkuba kuimarisha miundombinu TLS

  SWEETBERT Nkuba, ambaye ni miongoni mwa wagombea sita wa nafasi ya urais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), moja ya sera zake ni uimarishaji wa miundombinu ya kisheria na kiteknolojia ndani ya TLS ili kuwezesha huduma bora kwa wanachama na jamii kwa ujumla. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hiyo ni pamoja…

Read More

Serikali kutafuta mwarobaini changamoto mifumo ya kikodi

Dar es Salaam. Huenda changamoto za mifumo ya kikodi kwa wafanyabiashara nchini zikapata ufumbuzi, baada ya Serikali kutangaza kuunda kamati itakayochunguza na kubaini changamoto za utekelezwaji wa sera na sheria katika mifumo hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa kamati hiyo itakayohusisha wajumbe kutoka serikalini na sekta binafsi, itapendekeza mfumo stahiki wa kikodi unaoendana na…

Read More

Moses Phiri amalizana na Power Dynamos

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba Mzambia, Moses Phiri amejiunga na Power Dynamos FC ya Zambia kwa mkataba wa miaka miwili. Mshambuliaji huyo alikuwa akiichezea timu hiyo aliyojiunga nayo kwa mkopo Januari 16, mwaka huu akitokea Simba, baada ya kutokuwa na nafasi ya kucheza mara kwa mara katika kikosi cha kwanza hivyo kuamua kutafuta changamoto sehemu nyingine….

Read More

Muga: Hakuna uonevu uchaguzi wa TLS, watu wasichanganye na siasa

Na Mwandishi Wetu MGOMBEA wa Urais wa Chama Cha Wanasheria Tanganyika(TLS), Emmanuel Muga, amesema hakuna uoenevu kwenye uchaguzi wa Urais ndani ya chama hichovkama inavyoelezwa na baadhi ya watu. Muga alitoa kauli hiyo kwenye mdahalo wagombea wa kinyang’anyiro hicho ulioendeshwa na kituo cha Televisheni cha Star Tv na kushirikisha wagomnea wote sita. Alikuwa akijibu swali…

Read More