
Kakolanya anavyojipanga Namungo | Mwanaspoti
KIPA mpya wa Namungo FC, Beno Kakolanya ametaja matarajio yake ya msimu ujao kuwa ni kuipambania timu kumaliza nafasi nne za juu, ili kupata nafasi ya kushiriki michuano ya kimataifa. Kakolanya amejiunga na Namungo kwa mkataba wa mwaka mmoja akitokea Ihefu ambako alisaini miaka miwili baada ya kuachana na Singida Fountain Gate. Amesema, “matarajio ni…