Kamala Harris achangiwa bilioni 534 za kampeni

  MAKAMU wa rais nchini Marekani na mgombeaji wa kiti cha urais, Kamala Harris amechangiwa Dola za Marekani 200 milioni (Sh 534.1 bilioni) za kufanya kampeni. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa… (endelea). Hatua hiyo imejiri baada ya Rais wa taifa hilo, Joe Biden kutangaza kuacha kuwania urais dhidi ya mpinzani wake anayepeperusha bendera kwa tiketi ya…

Read More

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aongoza Washiriki Mbio za NBC Dodoma Marathon, Milioni 300 Zakusanywa Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ameongoza washiriki zaidi ya 12,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma huku akiwapongeza waandaaji wa mbio hizo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kufanikiwa kukusanya fedha kiasi cha sh milioni 300 zitakazoelekezwa katika kuokoa maisha ya mama na mtoto. Katika mbio hizo…

Read More

Mzozo kati ya Israel na Hezbollah watishia kutanuka – DW – 29.07.2024

Miito ya kimataifa yatolea ili kuepusha kuutanua mzozo huo. Marekani imelaani tukio hilo na kusema liliendeshwa na Hezbollah huku wakidhihirisha uungwaji mkono usioyumba kwa usalama wa Israel, lakini ikasisitiza pia kwamba haitopendelea kuona  mzozo huo unatanuka. Ufaransa, Uingereza na Misri zilielezea wasiwasi wao kuhusu kutanuka kwa mzozo huo na kwamba unaweza ukaitumbukiza Mashariki ya Kati katika…

Read More

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA MKOANI NJOMBE WAFIKIA ASILIMIA 88.3 – ENG RUTH

Bajeti ya Matengenezo na Maendeleo ya Barabara katika mkoa wa Njombe kwa Mwaka wa Fedha 2023-24, ni Shilingi Bilioni 11.583, ambapo katika fedha hizo Miradi ya Maendeleo ni Shilingi Bilioni 7.979, Miradi katika Ushoroba wa Kiuchumi Shs. Bilioni 2.0, Barabara Zilizopandishwa Hadhi Shilingi Bilioni 2.5 na Barabara zilizoathiriwa na Mvua ni Shilingi Bilioni 3.0. Akizungumza…

Read More