
Kanisa lamsamehe aliyekamatwa akiondoka na ekaristi takatifu kanisani
Ifakara. Kanisa Katoliki Jimbo la Ifakara, limemsamehe Enock Masala (19), aliyetaka kutoroka na ekaristi takatifu kanisani. Kijana huyo alikamatwa jana Jumapili Julai 28, 2024, wakati wa misa ya kwanza katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Andrea, Jimbo Katoliki la Ifakara, baada ya kukomunika, aliificha ekaristi takatifu na kuondoka nayo bila kuitia mdomoni. Hata hivyo, walinzi wa…