URUS TZ teknolojia ya uhiilishaji mifugo maenesho Nanenane

IKIWA ni sehemu ya kusaidia jitihada za kukuza sekta ya mifugo hapa nchini, Kampuni ya URUS inatatajiwa kushiriki maonesho ya Nanenane mwaka huu katika mikoa sita ya Morogoro, Dodoma, Mbeya, Arusha, Simiyu na Kagera kwa lengo la kuonyesha teknolojia ya kisasa na yenye tija zaidi ya uzalishaji wa mifugo kupitia uhimilishaji kutoka nchini Marekani na…

Read More

Mtalii afariki kwa ajali Hifadhi ya Taifa Serengeti

Dar es Salaam. Mtalii mmoja amefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea katika Hifadhi ya Taifa Serengeti. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (Tanapa) leo Julai 29, 2024 gari hiyo ilikuwa na watalii saba wenye asili ya China na dereva raia wa Tanzania. “Shirika la…

Read More

Yanga yampa ulaji nyota wa Azam FC Cheickna Diakite

NYOTA mpya wa Azam FC raia wa Mali, Cheickna Diakite amesema wazi kwamba huenda mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ulioikutanisha timu aliyokuwa akiichezea ya AS Real Bamako dhidi ya Yanga msimu wa 2022–2023, ndiyo iliyomfanya atue nchini kukipiga kwa matajiri hao wa Chamazi. Winga huyo aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu alisema, wakati timu…

Read More

Yanga yampa ulaji Cheickna Diakite

NYOTA mpya wa Azam FC raia wa Mali, Cheickna Diakite amesema wazi kwamba huenda mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika ulioikutanisha timu aliyokuwa akiichezea ya AS Real Bamako dhidi ya Yanga msimu wa 2022–2023, ndiyo iliyomfanya atue nchini kukipiga kwa matajiri hao wa Chamazi. Winga huyo aliyejiunga na kikosi hicho msimu huu alisema, wakati timu…

Read More

JIWE LA SIKU: Ahadi za Hersi na njia anayopita Yanga

JULAI 9, 2022, ilikuwa siku ya kihistoria kwa mashabiki na wanachama wa Yanga baada ya kumchagua Injinia, Hersi Said kuwa rais wa klabu hiyo huku akiwa ndiye mgombea pekee katika kinyang’anyiro hicho kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Kamati ya uchaguzi huo, Wakili Ally Mchungahela, alisema katika mkutano huo kwamba, kwa mujibu wa kanuni…

Read More

Soka litakavyoiteka Tanzania Agosti | Mwanaspoti

Soka ni kama lilikuwa limepumzika baada ya msimu uliopita kumalizika lakini muda mfupi ujao, burudani zinarejea nchini kupitia matukio tofauti yahusuyo mchezo huo. Na burudani hiyo inakuja kibabe ambapo ndani ya mwezi ujao wa Agosti kutakuwa na idadi kubwa ya matukio ya kisoka ambayo hapana shaka yanasubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa mchezo huo….

Read More

Kagoma afichua ndoto ya udaktari ilivyomezwa na soka

NAMBA 21 mgongoni iliyokuwa inatamba dimba la kati katika kikosi cha Singida Fountain Gate msimu wa 2024/25, msimu ujao tutarajie kuiona Simba. Sio mwingine ni kiungo fundi mzawa panga pangua chini ya makocha wote waliopita Singida Fountain Gate, Yusuf Kagoma ambaye amesema anatamani kutumia namba hiyo akiwa na timu yake mpya. Spoti Mikiki limefanya mahojiano…

Read More

Mambo moto Kriketi ya Dunia U19

TIMU za kriketi kutoka mataifa manane ya Afrika zinaanza kuwasili jijini Dar es Salaam leo kwa ajili ya michezo ya kufuzu ushiriki wa Kombe la Dunia kwa vijana wa umri wa chini ya miaka 19. Moja ya mataifa hayo ni Nigeria ambayo wataanza kampeni ya kusaka tiketi kwa kucheza na wenyeji Tanzania katika mechi itakayopigwa…

Read More

Olimpiki 2024… Mlugu ana dakika 20 kuipa Tanzania medali

PAZIA la Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki linafunguliwa leo kwa judoka, Andrew Mlugu kuchuana katika hatua ya 32-Bora. Mlugu kama atashinda hatua hiyo atatinga hatua ya 16-bora leo leo na akifanya vizuri ataendelea hivyo hadi fainali na mabingwa kuvikwa medali leo. Mwanajudo huyo aliye kundi C katika hatua ya 32-bora ataanza kwa kupambana na Tai…

Read More