Kutoka kambi ya Azam FC… Mchezaji mpya aikataa namba ya mikosi

ILITOKEA kule Zanzibar pale Azam FC ilipomtambulisha Franklin Navarro kwenye dirisha dogo. Mchezaji huyo aliikataa jezi aliyotambulishwa nayo na ikabidi abadilishiwe haraka sana. Na sasa imetokea tena hapa Benslimane, Morocco ambako nyota katika usajili mpya wa matajiri wa Chamazi amekataa namba ya jezi iliyoandaliwa kwa ajili yake. Nyota huyo ni Mamadou Samake ambaye alipewa namba…

Read More

Azam kutesti kwa Wydad AC

BAADA ya juzi kulazimishwa sare ya 1-1 na Union Touarga, matajiri wa soka la Bongo, Azam FC leo usiku watashuka tena uwanjani kutesti mitambo mbele ya mabingwa wa zamani wa Morocco na Afrika, Wydad Casablanca ikiwa ni mechi ya mwisho kabla ya kuvunja kambi kurejea nchini. Azam na Wydad zitaonyeshana kazi katika mchezo wa kirafiki…

Read More

Mpanzu kayapotezea mamilioni haya Bongo

WINGA Mkongomani Ellie Mpanzu tayari yuko Ubelgiji, anakotaka kujiunga na klabu ya KRC Genk, lakini hapa Tanzania kaziacha klabu mbili kwenye mataa zikibaki na fedha zao. Iko hivi. Hapa nchini, klabu za Simba na Singida Black Stars ndizo zilizokuwa zikipigana vikumbo kumwania winga huyo na kila moja ikiweka nguvu yake ya fedha. Simba ndio iliyoanza…

Read More

Rais Maduro wa Venezuela achaguliwa kwa muhula wa tatu – DW – 29.07.2024

Tume ya uchaguzi imesema Maduro ameshinda kwa asilimia 51.2 ya kura. Rais wa Tume ya Uchaguzi ya CNE Elvis Amoroso, amewaambia waandishi habari kuwa asilimia 44.2 imekwenda kwa mgombea wa upinzani Edmundo Gonzalez. Matokeo hayo yametangazwa katika wakati wapinzani wa Maduro walikuwa wanapanga kuyapinga. Jana jioni wengi ya wanasiasa wa upinzani walikuwa wameanza kushangilia kupitia…

Read More

Phillipe Kinzumbi aibua vita mpya

YULE winga Phillipe Kinzumbi amekuwa akiwaniwa na Yanga kabla ya dili kukwama, ameibua mapya kule DR Congo akikaribia kuziingiza katika mgogoro Raja Athletic ya Morocco dhidi ya klabu yake ya TP Mazembe. Alichofanya Kinzumbi ni kwamba baada ya kuwabembeleza Mazembe kuilegezea Yanga kisha kumuuza hapa nchini, kisha klabu yake kugoma, akafanya uamuzi mgumu akikubali kuchukua…

Read More

Steven Mukwala aandaa sapraizi Msimbazi

KIKOSI cha Simba jana usiku kilikuwa uwanjani kucheza mechi ya pili ya kirafiki ikiwa kambini, jijini Ismailia, Misri huku mshambuliaji mpya wa kikosi hicho, Mganda Steven Mukwala akifichua namna alivyofurahishwa na maandalizi ya timu hiyo, akiahidi kuwafanyia sapraizi mashabiki wa klabu hiyo. Mshambuliaji huyo alijiunga na Simba, hivi karibuni akitokea timu ya Asante Kotoko ya…

Read More

Maafisa wa Umoja wa Mataifa wamelaani shambulizi la roketi la Golan ambalo limewaacha watoto na vijana miongoni mwa takriban vifo 12 – Masuala ya Ulimwenguni

Mkuu wa UN alilaani mauaji hayo ya raia 12, hasa watoto na vijana katika kijiji cha Druze cha Majdal Shams katika Golan inayokaliwa na Israel na kuwasilisha salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha na kuwatakia ahueni ya haraka majeruhi wote. “Wananchi, na watoto haswa, hawapaswi kuendelea kubeba mzigo wa ghasia za kutisha zinazokumba…

Read More