
VIONGOZI WA DINI KAGERA WAMUOMBEA RAIS SAMIA, BASHUNGWA AWASILISHA MCHANGO HARAMBEE UJENZI WA KANISA ANGLIKANA
Viongozi wa Dini wa Mkoa wa Kagera wameungana kwa pamoja kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Viongozi wa Kitaifa na Serikali kwa kuendelea kudumisha Amani, Utulivu, Upendano na Maelewano. Ibada hiyo iliyowakutanisha viongozi wa Dini ya Kikristo na Kiislamu imefanyika leo Julai 28, 2024 katika Kanisa Anglikana Mt….