YANGA YABEBA KOMBE LA TOYOTA AFRIKA KUSINI

NA EMMANUEL MBATILO KLABU ya Yanga imefanikiwa kubeba Kombe la TOYOTA nchini Afrika Kusini ambapo Yanga walialikwa kucheza na timu ya Kaizer Chiefs. Yanga Sc imefanikiwa kubeba kombe hilo mara baada ya kuifunga Kaizer Chiefs mabao 4-0 kwenye mchezo huo. Mabao ya Yanga yamefungwa na Aziz Ki ambaye amefunga mabao mawili, Mzize pamoja na Prince…

Read More

Vijana 500 kufundishwa uvuvi, kilimo katika Tamasha la Kizimkazi

Unguja. Vijana 500 wanatarajiwa kupatiwa mafunzo kupitia tamasha la Kizimkazi, litakalofanyika Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja. Tamasha hilo la Kizimkazi linatarajiwa kuanza Agosti 18, 2024 na litaambatana na shughuli mbalimbali ikiwemo ufunguzi wa miradi, maonyesho ya vyakula vya asili na michezo. Akitoa taarifa hiyo leo Julai 28, 2024, Mwenyekiti wa tamasha hilo, Mahfudh Said Omar…

Read More

MCHENGERWA AZINDUA BODI MPYA YA USHAURI YA TARURA

  Na. Catherine Sungura, Mbeya Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais-Tawala za Mikoa na Serikali  za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameitaka Bodi Mpya ya Ushauri ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kuwasaidia na  kuwashauri watendaji wafanye kazi vizuri ili kuhakikisha anayoyaota Mhe. Rais kwa Watanzania yanatimia. Mhe. Mchengerwa ameyasema hayo wakati wa uzinduzi …

Read More

WANAOUGUA UGONJWA WA HOMA YA INI ASILIMIA KUBWA HAWAONI DALILI ZA MOJA KWA MOJA

Na Hadija Bagasha, Tanga. WAKATI watanzania wakiadhimisha siku ya Homa ya Ini Duniani imeelezwa kwamba wagonjwa wanaougua ugonjwa huo asilimia kubwa hawaoni dalili za moja kwa moja isipokuwa asilimia ndogo. Hayo yalibainishwa na Daktari wa Kituo cha Siha Polic Cliniki Kasanga Bashiru wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maadhimisho ya siku hiyo ambapo wameazimisha…

Read More

Simba yashtuka yavuta kipa mpya

MABOSI wa Simba wameshtuka baada ya kupewa taarifa kwamba kipa Ayoub Lakred aliyeumia kambini Misri atakuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu na fasta wakaamua kuingia sokoni kusaka kipa mpya na tayari mezani wana jina la Moussa Pinpin Camara. Taarifa ambazo Mwanaspoti imezinasa ni kwamba, mabosi wa Simba wamelazimika kuzungumza na kipa huyo kutoka AC…

Read More