
MAVUNDE APIGA MARUFUKU WAMILIKI WA LESENI ZA UCHIMBAJI MDOGO WA MADINI KUINGIZA WAGENI
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Madini Mhe Anthony Peter Mavunde amepiga marufuku kwa wamiliki wa Leseni za uchimbaji mdogo wa Madini kuingiza wageni kutoka nje ya Nchi kwenye leseni zao bila kuwa na mikataba au makubaliano yaliyopitishwa kwa mujibu wa Sheria. Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Jijini Dodoma July 28,2024 wakati akizungumza na…