
Mbeya Unity sio kinyonge! | Mwanaspoti
WAKATI Ligi Kuu ya Netiboli nchini ikitarajiwa kuanza Agosti 1 huko jijini Arusha, Mbeya Unity Queens imesema hawataenda kinyonge katika mashindano hayo, bali kupambania heshima ya Mkoa wa Mbeya kubeba ubingwa, huku ikilia na ukata. Mbeya Unity ndio msimu wake wa kwanza kushiriki ligi hiyo baada ya kupanda daraja mwaka huu na kuungana na ndugu…