
DKT.BITEKO ASHIRIKI BONANZA LA NISHATI JIJINI DODOMA
Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo wakiwa katika mazoezi ya matembezi wakati wa Bonanza la Nishati ambalo limefanyika leo Julai 27,2024 Jijini Dodoma likibebwa na Kaulimbiu Shiriki Michezo Imarisha Afya. Watumishi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo wakifanya mazoezi mbalimbali wakati wa Bonanza…