
PETER MSECHU AWACHANA WASANII WA BONGO KISA HIKI HAPA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Msanii wa muziki wa Bongo fleva ambaye pia ni balozi wa mazingira nchini, Peter Msechu amesema kuwa wasanii wengi wamekuwa wakitunga na kuimba nyimbo nyingi zinazohusu mapenzi badala ya kuimba mambo ya msingi yenye maslahi kwa taifa ikiwemo utunzaji wa mazingira, utalii na mengine. Msechu ameyasema hayo leo Julai 30, 2024 mjini Morogoro…