
Kikwete ataka Watanzania kukiuza Kiswahili
Dar es Salaam. Rais mstaafu, Jakaya Mrisho Kikwete amewaasa wananchi kujenga tabia ya kupenda kusoma vitabu, ili kukuza uwezo wa kitaaluma na uvumbuzi wa mambo mapya na kupunguza makosa katika lugha ya Kiswahili. Kikwete ameyasema hayo leo Julai 27, 2024 katika maadhimisho ya miaka 10 ya Watetezi wa Kiswahili Tanzania (WAKITA) yaliyofanyika katika Ukumbi wa…