Askofu Malasusa akemea mauaji, utekaji kuelekea uchaguzi mkuu

Mwanza. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa amekemea matukio ya mauaji na utekaji nchini, akitaka Serikali ifuatilie na kuwaweka wazi wahusika, ili wawajibishwe kisheria. Ametoa kauli hiyo jana Julai 26, 2024 katika mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi wa KKKT Dayosisi ya Mashariki ya Ziwa Victoria uliofanyika jijini Mwanza. Askofu…

Read More

Mitihani migumu ya bosi mpya Simba

KLABU ya Simba juzi ilimtambulisha, Uwayezu Francois Regis, raia wa Rwanda kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO), akirithi mikoba ya Imani Kajula. Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Wakurugenzi ya Simba chini ya Mwenyekiti na rais wa Heshima, Mohammed Dewji ‘MO’ ilieleza kwamba Regis ataanza kazi Agosti Mosi, mwaka huu, baada ya Kajula kumaliza mkataba wake. Mojawapo…

Read More

Kuwatapeli waumini ni jinai kama unyang’anyi

Dar es Salaam, Utotoni tulikuwa na kawaida ya kuketi kwenye nyumba ya mmoja wetu kuangalia mikanda mipya ya video. Ilikuwa hivyo kwani tulikuwa tukicheza pamoja, siku za mapumziko ya mwisho wa juma tukatafuta mkanda mkali na kuchagua pa kuuangalia siku hiyo. Wazazi walikuwa aidha wameenda kufanya kazi kwa masaa ya ziada au pengine nao walitoka…

Read More

Sh1.5 bilioni kujenga soko la ndizi Rombo

Rombo. Serikali imetoa zaidi ya Sh1.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa soko jipya la ndizi la Mamsera lililopo wilaya ya Rombo, Kilimanjaro ili kuhakikisha wakulima wa ndizi wilayani humo, wanapata sehemu ya uhakika ya kuuzia bidhaa hiyo. Wakulima hao wa ndizi wamekuwa wakifikisha bidhaa hiyo sokoni na kulazimika kupanga  chini pembezoni mwa barabara kutokana…

Read More