
Adaiwa kumlawiti mwenzake akimdanganya kusukuma bodaboda
Arusha. Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia Dominick Miduriek (32) mkazi wa Oldonyokumur Kata ya Muriet jijini Arusha kwa tuhuma za kumwingilia kijana wa miaka (23) kinyume na maumbile. Akithibitisha kutokea kwa tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo amesema kuwa polisi bado inaendelea na uchunguzi wa tukio hilo. “Hilo tukio nimesikia…