Meli ya mafuta yazama, mamia ya maelfu ya watu wameathiriwa na kimbunga kikubwa Ufilipino – Masuala ya Ulimwenguni

An lori la mafuta lililokuwa na lita milioni 1.4 za mafuta pia lilizama katika bahari iliyochafuka karibu na mji mkuukatika Ghuba ya Manila. Sasa kwa kuwa kimbunga Gaemi (eneo la karibu kinaitwa Carina) pamoja na athari za monsuni za kusini-magharibi kuleta mvua kubwa na upepo kwenye Kisiwa cha Luzon magharibi, ambacho ni makao ya zaidi…

Read More

Wakili mwingine aiburuta TLS kortini

Mwanza. Mahakama Kuu Kanda ya Mwanza imetoa siku tano kwa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Baraza la Uongozi la TLS, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kuwasilisha kiapo kinzani na majibu ya hoja zilizowasilishwa mahakamani hapo na wakili Steven Kitale. Shauri hilo namba 17558/2024, limeitwa jana Julai 26, 2024, mbele ya Jaji…

Read More

MGUU NDANI, MGUU NJE…Hawa kutua Saudia ni suala la muda tu

LONDON, ENGLAND: DIRISHA la usajili bado linaendelea na timu zinazidi kusajili kila kukicha. Miongoni mwa timu ambazo usajili wake huwa unatikisa ni zile za Saudi Arabia ambazo zimekuwa zikichukua wachezaji bora kutoka timu mbalimbali Ulaya. Kwa sasa kuna zaidi ya wachezaji 10 kutoka timu mbalimbali kubwa Ulaya na muda wowote wanaweza kutua Saudi Arabia. Baadhi…

Read More

NI MARUFUKU KUMFUKUZA MWANAFUNZI KWA KUSHINDWA KUCHANGIA MCHANGO WOWOTE-WAZIRI MKENDA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda amesema ni marufuku Mwanafunzi yeyote kufukuzwa kwenye shule za umma, kurudishwa nyumbani kwa sababu mzazi ameshindwa kuchangia mchango wowote ikiwemo huduma za chakula. Mkenda ametoa agizo hilo Julai 26, 2024 jijini Dodoma wakati akizungumza katika Kongamano la Utoaji Chakula na Lishe Shuleni, akisisitiza mzazi anayekataa kuchangia…

Read More

Crows yaanza visingizio | Mwanaspoti

CROWS imeanza visingizio baada ya kocha wa timu hiyo, Abbas Sanawe kusema kuwa, kukosa utulivu kwa   wachezaji hasa katika robo ya tatu, imechangia kwa kiasi kukikubwa kufungwa na Savio kwa pointi 92-70. Timu hiyo ilipoteza mchezo huo wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) uliopigwa kwenye Uwanja wa DonBosco Oysterbay. Sanawe aliliambia…

Read More

Dar City yafunika BDL | Mwanaspoti

WATETEZI wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), Dar City, inaendelea kuongoza katika msimamo wa ligi hiyo kwa pointi 37, huku mpinzania wake UDSM Outsiders ikishika nafasi ya pili kwa pointi 34. Timu zinazofuatia Savio pointi 34, JKT pointi 32, Mchenga Star pointi 29, ABC pointi 28, Vijana ‘City Bulls’ pointi  28…

Read More

Mkutano Mkuu Chaneta kufanyika Arusha

WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Damas Ndumbaro anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Netiboli nchini (CHANETA) utakaoafanyika Jumanne ijayo jijini Arusha. Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Chaneta, Shy Rose Bhanji mkutano huo utahudhuriwa na wajumbe watatu kutoka kila mkoa wa Tanzania Bara. Shy Rose alisema mbali na kufungua…

Read More

Simba yarudi tena kwa Mpanzu, yadhamiria ubaya ubwela

WAKATI Simba ikijiandaa kurejea nchini mapema wiki ijayo ikitokea kambi ya jijini Ismailia, Misri taarifa kutoka kambi ya timu hiyo ni, mabosi wa klabu hiyo wamerejea tena kuzungumza na winga Ellie Mpanzu aliyepo AS Vita ili kuziba pengo la Kibu Denis aliyepo kwenye dili la kuuzwa Norway. Awali ilielezwa Simba iliamua kuachana na Mkongomani huyo…

Read More

Dili la Kibu Denis bado kidogo

MABOSI wa Simba kwa sasa wanasikilizia tu dili la nyota wa timu hiyo, Kibu Denis aliyepo Norway kwa sasa akimalizana na klabu ya Kristiansund BK kama ambavyo Mwanaspoti lilivyoripoti awali taarifa kuwa ametoroka ni zuga tu ya viongozi wa Wekundu hao kwani walikuwa wanajua kila kitu. Taarifa zilizopatikana kutoka ndani ya klabu hiyo ni, mabosi…

Read More