
Waandamanaji Kenya hawajaridhishwa na mawaziri wapya – DW – 27.07.2024
Rais wa Kenya anayekabiliwa na shinikizo William Ruto alitangaza teuzi nyingine kumi za serikali yake mpya pana siku ya Jumatano, akiongezea juu ya teuzi 11 zilizotangazwa siku chache mapema. Ruto pia aliwajumlisha wanachama wanne wa ngazi ya juu wa upinzani kama sehemu ya baraza jipya la mawaziri. Mabadiliko haya kuelekea serikali ya umoja wa kitaifa nchini Kenya…