WAZIRI MKENDA:NI MARUFUKU KUMFUKUZA MWANAFUNZI KWA KUSHINDWA KUCHANGIA MCHANGO WOWOTE

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, akizungumza katika Kongamano la Utoaji Chakula na Lishe Shuleni lililofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma. Katibu Mkuu wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nomboa,akizungumza katika Kongamano la Utoaji Chakula na Lishe Shuleni lililofanyika kwa siku mbili jijini Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe….

Read More

Rais Samia: Viongozi msiwadhihaki wananchi

Dar es Salaam. ‘Madaraka ni nguo ya kuazima.’ Huu ndiyo ujumbe alioutoa Rais Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali kufuatia mabadiliko aliyoyafanya hivi karibuni kwenye baraza la mawaziri na Serikali kwa jumla. Katika hafla ya uapisho iliyofanyika jana Ikulu jijini Dar es Salaama Rais Samia aliwaapisha mawaziri wanne, manaibu waziri wawili na makatibu tawala…

Read More

Lissu: Nia yangu kugombea urais iko palepale

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema-Bara, Tundu Lissu amesema nia yake ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano iko palepale na yuko tayari kuitikia wito wa Watanzania na chama chake. Lissu ameyasema hayo leo Julai 26, 2024 alipozungumza na waandishi wa habari alipokuwa akirejea kutoka nchini Ubelgiji alipokwenda kwenye mapumziko kwa zaidi ya wiki…

Read More

ONGEZEKO LA VIWANDA MKOANI PWANI LITAPUNGUZA UAGIZAJI WA BIDHAA NA MALIGHAFI NJE YA NCHI-RC KUNENGE

Na Mwamvua Mwinyi,Mkuranga Julai 26 Mkuu wa mkoani Pwani, alhaj Abubakar Kunenge amejinasibu kuwa ongezeko la viwanda mkoani humo litaongeza uzalishaji wa bidhaa na malighafi hali itakayosaidia kupunguza uagizaji wa bidhaa hizo nje ya nchi. Kutokana na mafanikio hayo, azielekeza Taasisi wezeshi kuondoa ukiritimba kwa wawekezaji badala yake watumie nafasi zao kuwaelekeza taratibu zinazotakiwa ili…

Read More