
Serikali yaeleza sababu ya kusitisha mtalaa kidato cha tano
Dodoma. Serikali imeahirisha utekelezaji wa mtaala ulioboreshwa wa kidato cha tano kwa mwaka wa masomo 2024/25 kutokana na changamoto za kiufundi ikiwemo kuchelewa kuchapishwa kwa nakala ngumu za vitabu. Akizungumza jana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema kuwa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Amali ya mwaka 2023 ilipitishwa Oktoba…