Serikali mbioni kufanya utafiti wa chakula shuleni

Dodoma. Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatarajia kufanya utafiti kuangalia uhusiano wa tatizo la utoro kwa wanafunzi na uwepo wa chakula shuleni. Akizungumza leo Ijumaa Julai 26, 2014 katika kongamano la kitaifa la utoaji wa chakula na lishe shuleni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda amesema utafiti huo utahusisha kuangalia kiasi…

Read More

KAMISHNA MKUU TRĄ AKUTANA NA WAFANYABIASHARA DODOMA

KAMISHNA Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amekutana na kuzungumza na wafanyabiashara mkoani Dodoma.  Akizungumza na wafanyabiashara hao Julai 24 mwaka huu, Kamishna Mwenda ameahidi kufanya kazi kwa ukaribu na wafanyabiashara hao pamoja na kutatua changamoto zao za kikodi kwa wakati ili kuleta ari ya ulipaji kodi wa hiari. Wafanyabiashara hao wamemshukuru…

Read More

Jeshi la Nigeria laonya dhidi ya ghasia za mtindo wa Kenya – DW – 26.07.2024

Wakati Kenya imekumbwa na maandamano ya maafa yalioilaazimu serikali kuachana na mpango wa kuongeza kodi, Nigeria imeshuhudia vurugu ndogo kuhusiana na mageuzi yake ya kiuchumi ambayo tayari yamesababisha ongezeko la asilimia 40 la mfumuko wa bei za chakula. Hashtag ya #EndBadGovernanceinNigeria imekuwa ikisambaa kwenye mtandao wa X sambamba na ile ya #RevolutionNow, zikitoa miito kwa…

Read More

Wagonjwa 30 hutoroka hospitali bila kulipa bili

Tabora. Mianya ya upotevu wa mapato imetajwa kuwa moja ya changamoto zinazorudisha nyuma ustawi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora-Kitete. Hii ni kutokana na baadhi ya wagonjwa wanaokwenda kupatiwa matibabu hospitalini hapo kutoroka bila kulipia bili baada ya kutibiwa. Imeelezwa kuwa hospitali hiyo inapoteza zaidi ya Sh5 milioni kila mwezi kwa wagonjwa kutoroka…

Read More

Ripoti: Ukatili kwa watu wazima na watoto waongezeka

Dar es Salaam. Matukio ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwa watu wazima na watoto nchini yameongezeka, ripoti mpya inaeleza. Kwa watu wazima makosa yaliyobainika katika ripoti hiyo ni pamoja na shambulio  la kudhuru mwili, kujeruhi, lugha ya matusi na shambulio la aibu. Upande wa watoto,  ripoti hiyo imetaja matukio ya ubakaji, ulawiti, kutupa watoto,…

Read More

WATUMISHI WIZARA YA FEDHA WAHIMIZWA KUENDELEA KUCHAPA KAZI

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), akizungumza wakati akifungua Kikao cha Watumishi wa Wizara ya Fedha kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (hayupo pichani), kilichofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP), jijini Dodoma, ambapo amewaagiza watumishi kuimarisha mfumo wa ukusanyaji wa mapato na…

Read More

TABASAMU LIMEVUKA MIPAKA NA CRDB BANK MARATHON 2024 – MWANAHARAKATI MZALENDO

Jisajili sasa kwenye #CrdbInternationalMarathon2024 uwe sehemu ya kasi isambazayo tabasamu. Kama bado haujajisajili, muda ni sasa. Tembelea tovuti ya http://crdbbankmarathon.co.tz ukamilishe usajili wako. Kwa Tanzania, malipo ya mtu mmoja ni shilingi 45,000 na kikundi cha kuanzia watu 30 ni shilingi 40,000 kwa kila mmoja. Kama tayari umejisajili unaweza kuwasaidia ndugu, jamaa na marafiki zako nao wawe sehemu…

Read More