
Kaeni kwa kutulia sasa! | Mwanaspoti
WAKATI timu za Ligi Kuu Bara zikiendelea kujifua kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, wawakilishi wanne wa Tanzania katika michuano ya kimataifa Simba, Yanga, Azam na Coastal Union zinajiandaa kufunga hesabu za maandalizi kabla ya kuanza mchakamchaka wa mashindano ya msimu mpya. Yanga iliyopo Afrika Kusini na Azam iliyoweka kambi Morocco zitashiriki Ligi ya…