
Kwanini Afrika inazongwa na maandamano ya vijana? – DW – 31.07.2024
Katika miezi ya hivi karibuni Nigeria imeshuhudia maandamano ya hapa na pale, ukiwemo mgomo wa chama cha wafanyakazi uliovuruga usafiri wa anga na kusababisha umeme kupotea katika maeneo mengi. Hata hivyo, maandamano yanayotarajiwa kufanyika kote nchini yanatarajiwa kuwa makubwa kabisa kushuhudiwa tangu maandamano ya mwaka 2020 yaliyoshinikiza juhudi zifanyike kuutokomeza ugonjwa wa Sars chini ya…