
Mapya watoto wawili waliopotea Arusha, baba atajwa
Arusha. Jeshi la Polisi mkoani Arusha linamsaka mtu mmoja anayejulikana kwa jina moja la Maiko, ambaye ni baba wa watoto wawili wanaodaiwa kupotea wilayani Arumeru mkoani Arusha akituhumiwa kuhusika na tukio hilo. Hayo yamebainika baada ya kusambaa kwa taarifa za kupotea kwa watoto wawili, Mordekai Maiko (7) na Masiai Maiko (9), wanafunzi wa Shule ya…