
Watuhumiwa tisa mauaji ya mtoto Asimwe Novart wamefikishwa Mahakamani leo
Leo July 26,2024 imeitwa tena kwa mara ya tatu kesi ya watuhumiwa tisa wa mauaji ya mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu may 30 mwaka huu 2024 ambapo June 17 mwaka huu 2024 mwili wake ulikutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake. Watuhumiwa hao tisa wamefikishwa…