Burundi yarekodi visa vya kwanza vya mpox – DW – 26.07.2024

Mpox, zamani monkeypox, ni ugonjwa wa kuambukiza unaosababishwa na virusi vinavyohamishwa kwa binadamu kutoka wanyama walioambukizwa na ambavyo vinaweza kuambukiza miongoni mwa wanadamu kupitia kugusana kimwili. Mlipuko wa kimataifa miaka miwili iliyopita ulipelekea shirika la afya duniani, WHO, kuitangaza mpox kuwa janga la dharura la kiafya linalozusha wasiwasi kimataifa, ambayo ni tahadhari kubwa zaidi linaloweza…

Read More

KAMPUNI YA BIA TANZANIA (TBL) YAFANYA MKUTANO WA 51 WA MWAKA

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inayoongoza kwa utengenezaji wa vinywaji hapa nchini inayo furaha kutangaza Mkutano wake Mkuu wa Mwaka utakaofanyikia katika ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Julius nyerere (JNICC).  Mkutano huu utaangazia maendeleo ya kifedha ya (TBL), mikakati na nafasi yake katika soko.Mkutano huu unatarajiwa kuhudhuriwa na wadau mbalimbali ambao watajadili maendeleo ya…

Read More

Mastaa kikapu Ufaransa na marufuku ya hijabu Olimpiki

PARIS, UFARANSA: Huko Paris ambapo hali ya hewa siyo joto sana, Diaba Konate anaonyesha msisimko huku akiwa na tabasamu pana akielekea mahali alipokubaliana kukutana na mwandishi wa BBC karibu na Louvre. Nyota huyo amevaa jezi yenye nambari 23. Bila shaka hivyo ndivyo ilivyo – mpira wa kikapu ni mapenzi yake. Mchezaji anayecheza nafasi ya ‘point…

Read More

Chalamila anavyozungumzia utekaji, mauaji ya watoto Dar

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezungumzia matukio ya mauaji na utekaji wa watoto jijini humo akikiri kuwa yapo lakini si kama yanavyoripotiwa. Kauli hiyo inafuatia taarifa zinazoenea na kuleta taharuki kuhusu matukio ya watoto kupotea, kutekwa na kuuawa katika maeneo mbalimbali nchini ikiwamo Dar es Salaam. Hivi karibuni,…

Read More

Wanafunzi wawili Must wadaiwa kufia mgodini Mirerani

Mbeya. Wanafunzi wawili wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (Must) wamepoteza maisha chini kwenye mashimo ya mgodi wa Mirerani ambako walikwenda kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo. Taarifa zilizolifikia Mwananchi zimedai kuwa wanafunzi hao wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya mgodi. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Ijumaa Julai 26,2024, Ofisa Mawasiliano na…

Read More