
RAIS DK.SAMIA HANA DENI LA MAENDELEO KWA WANNCHI WA MAGU
NA BALTAZAR MASHAKA, MAGU MBUNGE wa Magu(CCM),Bonventure Kiswaga amesema serikali ya awamu ya sita imeipatia wilaya hiyo zaidi ya sh.bilioni 107.294 za miradi ujenzi wa miundombinu ya maji,barabara,madaraja na elimu. Ametoa takwimu hizo kwa nyakati tofauti katika vijiji vya Kitumba,Igekemaja,Busekwa na Kanyama vya kata za Kisesa,Bujashi na Bujora,jana wakati akihutubia wananchi katika mikutano ya hadhara…