Mwabukusi ashinda rufaa, sasa kuwania urais TLS

Dar ES Salaam. Mahakama Kuu imetengua uamuzi wa Kamati ya Rufaa ya TLS uliomwengua kwenye kinyang’anyiro cha kugombea urais wa chama hicho cha Wanasheria wa Tanganyika Uamuzi huo ambao umetolewa leo Julai 26, 2024 na Jaji Butamo Phillip, ndio unaotoa hatima ya Mwabukusi katika kinyang’anyiro hicho. Mwabukusi alikuwa mmoja wa wanachama walioomba na kupitishwa na…

Read More

Kazi imeanza Olimpiki 2024 Paris

MICHEZO ya Olimpiki Paris 2024 inazinduliwa rasmi leo Ijumaa, huku ikitazamiwa kuvuta hisia za wadau mbalimbali wa michezo na burudani kote duniani. Michezo hiyo inarejea katika mji mkuu huo wa Ufaransa baada ya kupita miaka 100 na kuwa jiji la pili baada ya London kuandaa Olimpiki ya majira ya joto kwa mara ya tatu. Olimpiki…

Read More

Fursa iliyojificha kwenye taka za masoko, dampo- 2

Dar es Salaam.  Masoko ni miongoni mwa maeneo yanayozalisha taka kwa wingi maeneo ya mijini. Mfano, soko la Mabibo lililopo Manispaa ya Ubungo linakadiriwa kuzalisha tani 50 kila siku. Kutokana na wingi huo, gari la taka hulazimika kwenda pale hadi mara nne kila siku, kwa mujibu wa Lawi Bernard, mkuu wa kitengo cha udhibiti wa…

Read More

PIRAMIDI YA AFYA: Kujamiiana baada ya kuondoa kizazi

Miongoni mwa maswali ambayo ni kawaida kukutana nayo kwa wanawake wanaofanyiwa upasuaji wa kuondoa nyumba ya uzazi au kizazi, ni kuhusu kushiriki tendo la ndoa, mara baada ya upasuaji huo. Upasuaji huu kitabibu hujulikana kama Hysterectomy, hufanyika kwa sababu za kiafya au binafsi. Ieleweke upasuaji huu hauondoi sehemu za uke ambazo ndizo zinazohusika katika tendo…

Read More

Nyuma ya raha ya bodaboda kuna hatari hizi kiafya…

Dar es Salaam. Pamoja na uhakika wa kufika haraka, kupenya kwenye msongamano na gharama nafuu za usafiri wa bodaboda, unajua madhara ya kiafya yaliyojificha nyuma ya raha hizo? Sikutishi uache kupanda au kuendesha bodaboda, muktadha wa andiko hili ni mtazamo wa wataalamu wa afya, wanaoeleza madhara ya kiafya yanayowakabili watumiaji na madereva wa usafiri huo,…

Read More

IMANI KAJULA; Siku 913 mataji mawili

JANUARI 26, 2022 Simba ilimtangaza Imani Kajula kuwa ofisa mtendaji mkuu (CEO) wa klabu alikichukua nafasi ya Barbara Gonzalez aliyejiuzulu Desemba 10, 2021. Hadi Agosti Mosi, mwaka huu, siku ambayo ataachia ngazi katika nafasi hiyo atakuwa ametimiza siku 913 tangu ashike nafasi iliyoachwa na Barbara, huku akishindwa kufikia mafanikio yaliyofikiwa na mtangulizi wake. Tangu aingie…

Read More