
AFARIKI AKIOTA MOTO NDANI YA GARI – MWANAHARAKATI MZALENDO
Thadei Mbawala (48) mkazi wa mtaa wa mji Mwema halmashauri ya mji wa Njombe ambaye ni dereva wa gari ya kampuni ya maji anadaiwa kufariki dunia ndani ya gari aliyokuwa amepaki nyumbani kwake pembeni kukiwa na jiko la mkaa (kigai) huku milango ya gari ikiwa imefungwa. Catherine Haule ni mke wa marehemu ambaye amesema…