
EXIM BANK YACHANGIA VITANDA KWA KITUO CHA AFYA TANGA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Exim Bank Tanzania imetoa jumla ya vitanda na magodoro 21 vya wagonjwa kwa kituo cha afya cha Mwakidila kilichopo jijini Tanga, mchango ambao umetatua kikamilifu tatizo la upungufu wa vitanda vya wagonjwa katika kituo hicho. Makabidhiano hayo, ambayo yamefanyika mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Mh. Balozi Dkt Batilda Burian, ni sehemu ya juhudi…