
M-Bet yakabidhi Sh100 milioni kwa Simba kwa ajili ya Simba Day
Na Mwandishi wetu Mdhamini mkuu wa Simba, kampuni ya michezo ya kubashiri ya M-Bet Tanzania imeikabidhi timu hiyo Sh100 milioni kuelekea sherehe za miaka 88 tangu kuanzishwa kwa timu “Simba Day”. Simba itanya maadhimisho ya miaka 88 tangu kuanzishwa kwake Agosti 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Afisa masoko wa M-Bet Tanzania, Victor Wilson, alikabidhi…